Usafiri SGR kuanza kesho sababu zikitajwa

Mpwapwa. Serikali imetangaza usafiri wa treni ya mwendo kasi (SGR) utaanza kesho jioni. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa Januari 2, 2025 na Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbalawa wakati akizungumza na wananchi wa Gulwe wilayani Mpwapwa. Waziri Profesa Mbalawala ametaja sababu za kusimamishwa usafiri huo ni kufanya uhakiki wa miundombinu ya reli yote kwa baadhi…

Read More

Wakazi Visiga walalamikia mikopo ya asilimia 10, halmashauri yataja changamoto ya urejeshaji

Kibaha. Baadhi ya wakazi wa Kata ya Visiga, Manispaa ya Kibaha mkoani Pwani, wamelalamikia upatikanaji wa mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri. Wamesema kuwa kila wanapofuatilia maombi yao, huambiwa fedha tayari zimeshatolewa, jambo linalosababisha kutoridhika na kutokuwepo kwa uwazi kwa walionufaika. Hali hiyo ilisababisha mjadala mkali wakati wa mkutano wa hadhara ulioongozwa na Mstahiki…

Read More

Dili la kipa mpya Simba ugumu uko hapa

SIMBA inaendelea kuhusishwa kuwapigia hesabu makipa wawili wazawa, Yona Amos wa Pamba Jiji na Patrick Munthary wa Mashujaa ili kuongeza nguvu ikiwa na pengo la Moussa Camara na Yakoub Suleiman ambao ni majeruhi wanaodaiwa watakuwa nje kwa muda mrefu. Hata hivyo, makipa hao nao wameibuka na yao, ikielezwa ni ngumu kwa Munthary sasa kutua Msimbazi…

Read More

Upelelezi kesi ya kusafirisha vinyonga mbioni kukamilika

Dar es Salaam. Upelelezi wa kesi ya kusafirisha vinyonga 164, mijusi 20 na nyoka sita, inayomkabili mshtakiwa Eric Ayo na wenzake wawili, upo hatua za mwisho kukamilika. Wakili wa Serikali, Winiwa Kasala ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo wakati kesi hiyi ilipoitwa kwa kutajwa. Ayo na wenzake wawili wanakabaliwa na kesi ya Uhujumu Uchumi…

Read More