Othman ataka Taifa lijengwe juu ya haki, Katiba 2026

Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Taifa wa ACT-Wazalendo, Othman Masoud Othman, ametumia salamu za Mwaka Mpya 2026 kuwataka Watanzania kuutumia kama fursa ya kuliponya Taifa, kurejesha misingi ya Katiba na kujenga umoja wa kitaifa unaotokana na haki, uwajibikaji na ridhaa ya wananchi. Katika salamu alizozitoa Januari mosi, 2026, amesema licha ya majaribu, mitihani na maafa…

Read More

Miili sita ajali ya Moro kutambuliwa kwa DNA

Morogoro.  Siku tatu tangu kutokea ajali iliyoua watu 10 mkoani Morogoro, ni miili minne pekee iliyotambuliwa, hali inayolazimu uchunguzi wa vinasaba (DNA) kutumika katika utambuzi kutokana na kuungua kwa kiasi kikubwa. Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro, Dk Joseph Kway, amesema tayari timu ya wataalamu kutoka ofisi ya Mkemia Mkuu wa Serikali…

Read More

Kitendawili cha Dida, Sululu kusalia Geita

KIPA namba moja wa Geita Gold iliyopo Ligi ya Championship, Deogratius Munishi ‘Dida’ na beki Fredy Juma Sululu waliosimamishwa ghafla mara baada ya timu hiyo kutoka sare ya 2-2 na KenGold huenda wakavunjiwa mikataba kwa tuhuma zisizowekwa wazi na mabosi wa klabu. Inadaiwa wachezaji hao walisimamishwa na kuachwa katika kikosi kilichosafiri kwenda kuvaana na Songea…

Read More

ODDS Kubwa Zipo Meridianbet Leo

LEO hii wakali wa ubashiri Meridianbet wanakwambia kuwa kutengeneza pesa ni rahisi sana kama ukiamua kusuka jamvi lako la ushindi leo. Mechi zilizopo zina Odds za kibabe hivyo ingia na ubeti hapa. LALIGA kule Hispania itaendelea kwa mechi moja ambapo Rayo Vallecano atamleta kwake Getafe ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 15 kwa 11 huku…

Read More