Watoto wanavyoweza kuwa pambo la nyumba

Methali ya Kiswahili isemayo “Watoto pambo la nyumba, wathaminiwe” ni methali yenye maana kubwa sana katika maisha ya familia na jamii. Methali hii inatufundisha kuwa watoto si tu sehemu ya familia, bali ni rundo la furaha, matumaini, na urithi wa kizazi kijacho.  Wakati watoto wanapopatiwa upendo, heshima, na malezi bora, wanakuwa chanzo cha mshikamano na…

Read More

URA wana jambo lao, kocha asimulia mateso waliyopitia

URA FC ya Uganda imeanza vizuri michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mlandege, lakini kuna kitu kocha wa kikosi hicho amekisimulia. Aliyetoa simulizi hiyo ni kocha mkuu, Mbalangu Hussein aliyesema haikuwa rahisi kufika Unguja na kupata ushindi huo kutokana na changamoto kubwa waliyokutana nayo wakati wa safari. Kocha…

Read More