IDADI YA WATALII WANAOITEMBELEA TANZANIA YAENDELEA KUPAA

…………. 📌 USHIRIKI WA RAIS SAMIA KATIKA KUVITANGAZA VIVUTIO VYA UTALII NA UIMARISHAJI WA MINDOMBINU VYATAJWA.  Na Sixmund Begashe, Mikumi Watalii wa ndani na nje wameendelea kuiamini na kuichagua Tanzania kama nchi salama ya kuitembelea kwa ajili ya kujionea vivutio mbalimbali vya Utalii ambapo kwa mwaka 2025 pekee idadi ya Watalii imeongezeka kwa asilimia 9…

Read More

Baraza Kuu laidhinisha bajeti ya kawaida ya UN ya $ 3.45 bilioni kwa 2026 – Masuala ya Ulimwenguni

Bajeti – iliyoidhinishwa na Baraza Kuu la wanachama 193 siku ya Jumanne – inaidhinisha dola bilioni 3.45 kwa mwaka ujao, ikijumuisha nguzo tatu kuu za kazi za Shirika: amani na usalama, maendeleo endelevu na haki za binadamu. Wakati bajeti iliyoidhinishwa ni takriban dola milioni 200 zaidi ya ya Katibu Mkuu pendekezo iliyoandaliwa chini ya Mpango…

Read More

Pamba Jiji yarudi kambini na mzuka

KIKOSI cha Pamba Jiji kimerejea kambini kujifua tayari kwa ngwe iliyosalia na Ligi Kuu Bara pamoja na michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) iliyosimamishwa tangu mapema Desemba mwaka jana kupisha fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 inayoendelea huko Morocco. Pamba Jiji inayoshika nafasi ya tatu kwa sasa katika msimamo wa ligi hiyo…

Read More

Simba kunafukuta! Mastaa wakuna vichwa

UJIO wa kocha mkuu mpya, Steve Barker ndani ya Simba umewafanya mastaa wa timu hiyo kuanza kukuna vichwa kutokana na kuwaambia wazi kwamba hataangalia ukubwa wa majina ya wachezaji waliopo kikosini, isipokuwa watapimwa kwa ufanisi wao uwanjani na jinsi watakavyoibeba timu akianza na michuano ya Kombe la Mapinduzi. Kocha huyo aliyetambulishwa Desemba 19 mwaka jana…

Read More

TRA YAKUSANYA TRILIONI 4.13 MWEZI DESEMBA PEKEE

:::::::::::  Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeendelea kuvunja rekodi yake yenyewe ya makusanyo kwa kukusanya kodi kiasi cha Sh. Trilioni 4.13 kwa mwezi Desemba pekee sawa na ufanisi wa asilimia 102.9 wa lengo la kukusanya Sh. Trilioni 4.01. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam tarehe 01.01.2026 Kamishna Mkuu wa TRA Bw. Yusuph…

Read More

40 wahofiwa kufariki dunia wakisherehekea kuvuka mwaka mpya

Uswisi. Takriban watu 40 wanahofiwa kufariki dunia na wengine 100 wamejeruhiwa baada ya mlipuko kutokea katika baa maarufu ya watalii na mapumziko ya Constellation nchini Uswisi wakati wa sherehe za mkesha wa Mwaka Mpya. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa moto huo ulisababishwa na mshumaa uliowekwa ndani ya chupa ya champagne katika sehemu ya chini…

Read More

Tanzania inavyosimama kama moyo wa biashara za kikanda

Tanzania kwa sasa inajikuta katika kipindi cha kipekee cha kihistoria, ikiwa ni nchi pekee mwanachama inayounganisha Jumuia ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kwa ufanisi mkubwa. Nafasi hii ya kijiografia si tu zawadi ya asili, bali ni karata muhimu ya kiuchumi ambayo ikitumiwa vyema inaweza kuifanya nchi kuwa…

Read More

‘Pasiwedi’ yazua tuhuma za Thadei Kweka

Moshi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imetoa amri ikimwamuru Thadei Kweka, anayedaiwa kuwa raia wa Marekani, kutoa nywila (password) katika simu yake ili Polisi waendelee na uchunguzi wa tuhuma za jinai zinazomkabili. Amri hiyo imetolewa Desemba 31, 2025, na Hakimu Mkuu Mkazi, Herieth Mhenga, alipotoa uamuzi wa maombi ya jinai namba 000030237 ya 2025, yaliyowasilishwa…

Read More