Maoni mseto hotuba ya Samia mwaka mpya

Dar es Salaam. Siku moja baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa hotuba ya kufunga mwaka 2025 iliyolenga kujenga umoja wa kitaifa, wachambuzi wa siasa wametoa maoni tofauti, baadhi yao wakieleza kwamba azma yake ya kujenga umoja wa kitaifa imechelewa. Jana, Jumatano Desemba 31, 2025, katika hotuba yake ya kufunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2026,…

Read More

Tato yataja mbinu mpya kuimarisha sekta ya utalii 2026

Arusha. Chama cha Waendeshaji Watalii Tanzania (Tato) kimezitaka taasisi, wawekezaji na wadau wa sekta ya utalii nchini kuwekeza katika ujenzi na uwasilishaji wa simulizi zenye nguvu kuhusu vivutio vya utalii vilivyopo nchini. Kimesema kwa kufanya hivyo kutaongeza ushindani wa Tanzania katika soko la kimataifa na kukuza mchango wa sekta hiyo katika uchumi wa taifa. Wito…

Read More

Bei ya mchele Mbeya haishikiki, serikali yaingilia kati

Mbeya. Bei ya mchele katika masoko ya jijini Mbeya imeendelea kupanda, hali inayosababisha malalamiko miongoni mwa wananchi huku wataalamu wa uchumi wakieleza sababu za mabadiliko hayo na kuonesha matumaini kuwa hali inaweza kurejea kawaida ifikapo Mei, mwaka huu. Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa wazalishaji wakuu wa zao la mpunga nchini, hususan katika wilaya za…

Read More

Uganda, mataifa mengine 39 duniani kufanya uchaguzi mwaka 2026

Dar es Salaam. Ni mwaka wa uchaguzi. Hivyo ndivyo unavyoweza kuuelezea mwaka 2026 katika ulingo wa siasa za kijiografia kwa sababu mataifa 40 duniani yanatarajiwa kufanya uchaguzi mwaka huu ili kupata viongozi watakaoziongoza serikali zake. Baadhi ya mataifa hayo yatafanya uchaguzi mkuu wa kuwapata Rais, wabunge na madiwani huku nchi nyingine zikitarajia kufanya uchaguzi wa…

Read More

‘Amani ni mbolea ya mafanikio’

Arusha/Manyara. Watanzania wametakiwa kuendelea kumuomba Mungu ili amani iendelee kudumishwa nchini, wakikumbushwa kuwa amani ni msingi muhimu unaochochea mafanikio na ustawi wa jamii. Wito huo umetolewa leo Alhamisi, Januari Mosi, 2026 na Naibu Katibu Mkuu wa Misioni na Uinjilisti wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Kaskazini Kati, Mchungaji Julius Tarakwa alipokuwa…

Read More

Makusanyo  ya TRA yavuka lengo

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kuvuka lengo la makusanyo ya kodi katika robo ya mwaka ya Oktoba hadi Desemba, 2025, ikikusanya Sh9.8 trilioni kati ya Sh9.6 trilioni zilizotakiwa kukusanya. Makusanyo hayo ni ufanisi wa asilimia 101.2 huku ukiwa umechangiwa na uchumi himilivi uliojengwa, ulipaji kodi kwa hiari na sera bora za…

Read More

Kanuni kuwabana wawekezaji kutoa CSR mbioni Zanzibar

Unguja. Wakati zikiandaliwa kanuni kuwabana  wawekezaji kuwajibika kwa jamii (CSR) katika maeneo wanayowekeza, Serikali imesema inatambua mchango wa sekta binafsi katika kukuza na kuendeleza uwekezaji, hivyo itahakikisha inaweka mazingira wezeshi kuvutia wawekezaji kutoka ndani na nje ya nchi. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amesema hayo leo  Januari Mosi, 2026 wakati…

Read More

Ajali ilivyoua watu 10 mkesha wa mwaka mpya

Morogoro. Mbali na dereva wa lori kuhama njia na kugongana uso kwa uso na basi, ajali iliyosababisha vifo vya watu 10 na wengine 23 kujeruhiwa, mvua na mwendokasi pia vinatajwa kuwa chanzo. Baadhi ya majeruhi wakizungumza leo, Januari mosi, 2026, wakiwa wodini katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro, wameeleza waliyoshuhudia katika ajali hiyo…

Read More