Mbeya wakesha na mwaka mpya, DC akisisitiza amani na mshikamano
Mbeya. Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Solomon Itunda amewaomba wananchi kuendelea kushirikiana na Serikali na kudumisha amani, akisema utekelezaji wa miradi miwili ya kimkakati katika wilaya hiyo utakuwa sehemu ya historia endapo itakamilika kwa wakati. Kauli hiyo ameitoa usiku wa mkesha wa kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2026, Desemba 31, katika viwanja vya Uhindini jijini Mbeya,…