Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo
Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo – Global Publishers Home Habari Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo
Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo – Global Publishers Home Habari Nafasi 27 za Ajira kwa Wahudumu wa Maduka Dar, Zipo Hapa leo
BINGWA wa michezo ya ubashiri, Meridianbet anatikisa tena ulimwengu wa kasino mtandaoni kupitia Meridian Panda Deluxe, mchezo bora wa sloti uliopewa wepesi wa kucheza kutokana na muundo wake mwepesi ukiwa na mpangilio wa gridi ya 3×3 hivyo kukufanya uwe na umiliki kamili ndani ya mchezo. Ndani ya mchezo huu, kila alama imebeba uzito wake. Kuanzia…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa Serikali imeanza maandalizi ya kuunda Tume ya Maridhiano ya Kitaifa, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuimarisha umoja na mshikamano wa Watanzania kuelekea mwaka 2026. Akihutubia Taifa tarehe 31 Desemba 2025 kutoka Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, katika salamu za kuukaribisha Mwaka…
LEO hii ni siku nzuri kwako wewe kubashiri na wakali wa ubashiri Meridianbet. Mechi kibao za pesa zipo kwaajili yako hivyo suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa. EPL kama kawaida inaendelea ambapo Crystal Palace atamleta kwake Fulham huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji aliondoka na ushindi mnono. Meridianbet wameipa mechi hii Odds kubwa…
Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0 – Global Publishers Home Habari Bupandwa FC Yaibuka Mabingwa wa Bonanza la Shigongo kwa Penati 3–0
WAKATI duru la kwanza katika Ligi Kuu Zanzibar likimalizika, mambo mbalimbali yamejitokeza ikiwamo kufungiwa kwa waamuzi, wachezaji, viongozi na hata mashabiki walioonekana kwenda kinyume cha utaratibu. Mwanaspoti linakuchambulia mambo sita yaliyojiri katika duru hilo la kwanza la Ligi Kuu Zanzibar inayoshirikisha timu 16. Waamuzi sita wa ligi hiyo wamekutana na adhabu ya kufungiwa kuchezesha baadhi…
Dar es Salaam. Ingawa kila lori hutozwa ushuru wa Sh15, 000 kuvuka mpaka wa Tanzania na Zambia kwa ajili ya huduma za jamii, madereva wa malori hayo wanalalamikia kukosekana vyoo vya umma, hali inayowalazimu kuomba huduma hiyo katika nyumba za watu binafsi. Kwa mujibu wa madereva hao, ushuru huo wa Sh15, 000 hutozwa na uongozi…
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) lina msemo wake maarufu ‘Play Fair, Be Positive’ ukiwa na maana kwamba ‘Cheza kwa Haki, Kuwa Chanya’. Sasa katika kuhakikisha mchezo wa mpira wa miguu unakuwa wa haki au kiungwana katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2026 yanayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Unguja, kuna zawadi ya Mchezaji…
Morogoro. Watu 10 wamefariki dunia huku wengine 18 wakijeruhiwa katika ajali barabarani iliyohusisha basi la abiria aina ya Mitsubishi Fuso, mali ya Kampuni ya Bill Mawio, kugongana uso kwa uso na lori la mizigo aina ya Howo lenye tela, mali ya Kampuni ya Kikori. Magari yote mawili yaliteketea kwa moto baada ya ajali hiyo. Ajali…
Ingawa COVID 19 haisababishi tena usumbufu mkubwa unaoonekana wakati wa dharura ya afya ya ulimwengu, virusi vinaendelea kulaza na kuua watu kote Uropa na mikoa jirani. Tafiti zinazoongozwa na WHO Ofisi ya Kanda ya Ulaya inathibitisha kwamba watu wanaopokea dozi za nyongeza kwa wakati wana uwezekano mdogo sana wa kupata magonjwa mazito, wanahitaji uangalizi mkubwa…