Kinara wa mabao ZPL amepania kinoma
MBONI Steven Kibamba amepania kufanya vizuri katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2026 inayoendelea kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja. Nyota huyo wa Fufuni FC anayecheza eneo la ushambuliaji, ndiye kinara wa mabao kwenye Ligi Kuu Zanzibar msimu huu 2025-2026 akiwa amepachika mabao 10 katika mechi 15 za duru la kwanza. Pia ana…