Uwanja wa KMC Wafungiwa na TFF kwa Kukosa Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungia uwanja wa KMC uliopo Dar es Salaam kutumika kwa michezo ya Ligi, baada ya kubaini kuwa haukidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haijakidhi matakwa ya Kanuni kama ilivyoainishwa katika masharti ya Kanuni…

Read More

Malengo ya Enock Jiah TRA United

MSHAMBULIAJI mpya wa TRA United ya Tabora, Enock Jiah, amesema amefurahi kurejea Ligi Kuu Bara baada ya kukaa kwa muda bila kucheza soka la ushindani kufuatia kuachana na Fanja FC ya nchini Oman, huku akiweka malengo ya kucheza tena soka nje ya Tanzania. Jiah anayemudu kucheza pia kama kiungo mshambuliaji, amejiunga na TRA United kwenye…

Read More

Ofisi ya Msaada wa Umoja wa Mataifa nchini Haiti, Balozi wa Ukarimu Theo James nchini Syria, atoa wito wa dharura kwa mamilioni ya watu nchini DR Congo – Masuala ya Ulimwenguni

Ofisi iliyoanzishwa kupitia azimio la mwezi Septemba, itatoa msaada kwa Kikosi kipya cha Kukandamiza Magenge na ujumbe wa kisiasa wa Umoja wa Mataifa nchini humo (BINUH) Masasisho ya Msemaji yalijumuisha kwamba Stephen McOwan amechaguliwa kama mkurugenzi wa muda wa ofisi na alijiunga na wafanyikazi 37 ambao tayari wameanza kazi huko Port-au-Prince mwishoni mwa wiki. Zaidi…

Read More

SOKO LA SAMAKI KATORO LAKOSA MIONDOMBINU YA MAJI TAKA

Wafanyabiashara wa soko la CCM katika mamlaka ya mji mdogo wa Katoro halmashauri ya wilaya ya Geita wamelalamikia uhaba miundombinu ya kutiririshia maji machafu ambayo yanahatarisha afya zao.Soko la Hilo ambalo linakadiliwa kuwa na wafanya biashara zaidi ya 400 ambao wanafanya biashara mbalimbali za nguo, vyombo, vyakula na pia linatajwa kuwa soko kuu la samaki…

Read More

Hatari inayowakabili wanaotumia mafuta wakati wa kujamiana

Dar es Salaam. Wakati matumizi ya mafuta yakiwa maarufu kwa wengi kama kilainishi wakati wa kujamiiana, wataalamu wa afya wameonya kuwa yanaweza kuleta madhara makubwa kwa afya ya mwanamke, ikiwamo kuharibu kinga asilia ya uke na kuongeza hatari ya maambukizi. Wataalamu hao wanaeleza tabia hiyo imekuwa ikichangia wanawake wengi kupata maambukizi ukeni, wakifafanua kuwa kiasili…

Read More

Athari za kukaa kimya ukiwa na deni la mtu

Kwa watu wengi katika jamii ya Kitanzania, kukopeshana fedha ni jambo la kawaida katika kutatua changamoto za maisha ya kila siku. Hata hivyo, kumekuwepo na mwenendo usio mzuri ambapo baadhi ya wanaokopa, wanaposhindwa kurejesha fedha kwa muda walioahidi, huamua kukaa kimya bila kutoa taarifa yoyote. Tabia hii si nzuri, kwani huathiri uaminifu wa kijamii na…

Read More