Tanford kuipigia chapuo Tanzania kongamano la biashara, usafirishaji Dubai
Dara es Salaam. Jukwaa la Kitaaluma la Umoja wa Wamiliki wa Kampuni za Usafirishaji na Mizigo za Watanzania wanaofanya kazi Dubai na soko la kimataifa (Tanford) limeandaa kongamano la siku mbili litakalofanyika Dubai, Umoja wa Nchi za Kiarabu Februari 13 na 14, 2026 kwa lengo la kuinadi Tanzania katika soko la kimataifa. Akizungumza na waandishi…