Majina: Ni utambulisho wa baraka au mzigo?
Dar es Salaam. Baada ya mtu kujitambua kiakili, kielimu au kijamii huanza kulitazama jina lake kwa jicho jipya, wengine huliona halilingani na utu wao wa sasa, ndoto walizonazo au hata hadhi wanayojijengea. Inaelezwa chanzo cha hali hii mara nyingi ni mabadiliko ya mtazamo, mtu anapopanuka fikra, huanza kujiuliza maswali mapya, je, jina langu linaniwakilisha?” “Ninajivunia…