Yanga, Al Ahly CAFCL hakuna mbabe
YANGA SC imelazimishwa sare nyumbani ikimaliza dakika 90 ikifungana bao 1-1 dhidi ya Al Ahly katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kundi B iliyochezwa leo Januari 31, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Sare hiyo inaifanya Yanga kufikisha pointi tano wakati Al Ahly ikiongeza alama moja na kuwa nane huku Waarabu hao…