Manispaa ya Morogoro yaanza kuwaondoa wafanyabiashara barabarani

Morogoro. Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro imeanza operesheni ya kuwaondoa wafanyabiashara wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi, ikiwemo kando ya barabara, kufuatia ongezeko la wafanyabiashara wa mboga na matunda wanaovamia maeneo hayo. Akizungumza na Mwananchi leo Januari 28, Ofisa Habari wa Manispaa ya Morogoro, Lilian Heneriko, amesema operesheni hiyo ilianza Januari 26, 2026 na inatekelezwa…

Read More

Tiseza yahamasisha uwekezaji wa ndani, yakagua maeneo ya kongani za viwanda

Simiyu. Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (Tiseza) imeanza kampeni ya kitaifa ya kuhamasisha uwekezaji wa ndani, sambamba na ukaguzi wa maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili ya uanzishaji wa kongani za viwanda nchini. Imeelezwa kuwa kampeni hiyo inalenga kuyafikia makundi mbalimbali yakiwemo vijana wajasiriamali wadogo na wa kati, wafanyabiashara, waandishi wa habari…

Read More

Tume yakutana na wataalam wa patholojia, vilipuzi

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 28, 2026, imekutana na mtaalam wa uchunguzi wa patholojia Dkt Ahmed Mattaka pamoja na mtaalam wa vilipuzi Inspekta Raphael Maira. Mkutano huo wa Tume na wataalam hao umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika uliopo…

Read More

Ulimwengu, Coastal ni suala la muda

UONGOZI wa Coastal Union uko katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa aliyekuwa straika wa TP Mazembe ya DR Congo, Thomas Ulimwengu baada ya mazungumzo chanya kati ya kikosi hicho cha ‘Wagosi wa Kaya’ na kambi ya nyota huyo. Taarifa kutoka Coastal Union zilizonaswa na Mwanaspoti zimedai mazungumzo yamefikia hatua nzuri kwa ajili ya…

Read More