Simanzi yatawala Manyika Sr akizikwa Dar
January 28, 2026 imekuwa siku ya huzuni kwa wadau na wapenzi wa soka Tanzania baada ya kuagwa na kuzikwa kwa mwili wa nyota wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Peter Manyika Sr. Kuanzia asubuhi hadi jioni simanzi ilitawala katika nyuso za waliokusanyika kumuaga shujaa huyo aliyeacha kumbukumbu nzuri katika soka nchini. …