Wagomea mwekezaji kupewa heka 850 za ardhi
Pwani. Wakazi wa Kitongoji cha Lupunga, Kata ya Kikongo, Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani, wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wa ardhi kati yao na mwekezaji aliyepewa heka 850 katika eneo hilo. Wanadai utaratibu wa kisheria haukufuatwa, ikiwamo kushindwa kuitishwa vikao vya makubaliano kabla ya kupatiwa eneo hilo. Notisi ya kuondoka ilitolewa Januari…