Kocha KMC FC akiri mambo magumu Ligi Kuu

BAADA ya sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Coastal Union, kocha Mkuu wa KMC, Mohammed Abdallah ‘Bares’ amesema kikosi chake bado kina hali ngumu, hivyo kinaendelea kupambana kujiondoa mkiani huku akikiri ana kazi kubwa ya kufanya. Bares ameambulia pointi moja ya kwanza tangu amekabidhiwa kikosi hicho akichukua mikoba ya Mbrazili, Marcio Maximo, ambapo alianza…

Read More

Ushindi wa Museveni watua mahakamani | Mwananchi

Dar es Salaam. Katika hatua mpya ya mgogoro wa kisiasa ulioibuka tangu uchaguzi wa urais wa Uganda uliofanyika Januari 15, 2026, ushindi wa Rais Yoweri Museveni umeanza kutafunwa kisheria mbele ya Mahakama Kuu ya Uganda. Hii imejiri tangu Januari 17, 2026, baada ya mgombea wa Urais Robert Kasibante, aliyeshika nafasi ya sita katika matokeo yaliyotangazwa…

Read More

ALAF YAZINDUA TUZO YA 10 YA KISWAHILI YA SAFAL 2025

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya ALAF Tanzania imezindua rasmi Tuzo ya Kiswahili ya Safal ya Fasihi ya Afrika kwa mwaka wa 2025, ambapo wanaotarajiwa kushiriki shindano hilo wametakiwa kuwasilisha kazi zao kwa ajili ya kupitiwa na majaji. Hiyo ni tuzo ya 10 tangu kuanzishwa kwake 2015 na inafadhiliwa na kampuni ya ALAF Limited ya Tanzania…

Read More

‘Vishandu’ waibua hofu Tanga, polisi wakamata watuhumiwa 55

Tanga. Vijana wanaohofiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu maarufu kama vishandu wameendelea kuwa tishio kwa usalama wa wakazi wa Jiji la Tanga, wakihusishwa na uporaji wa simu, kuvunja biashara na wizi wa vyombo vya usafiri, huku wakitumia silaha za jadi zikiwemo mapanga na nondo. Uchunguzi wa Mwananchi uliofanywa katika mitaa mbalimbali katikati ya jiji umebainisha…

Read More

MBUNGE WA KIBAMBA ATEMBELEA VIVUKO, AGHARAMIA UJENZI NA ATOA AHADI YA SULUHISHO LA KUDUMU

Mbunge wa Jimbo la Kibamba, Mheshimiwa Angellah Jasmine Mbelwa Kairuki, ametembelea Kivuko cha Mabrouk na Kivuko cha Matembezi vilivyopo Mtaa wa Kibamba, Kata ya Kibamba, kwa lengo la kujionea hali halisi ya miundombinu ya vivuko hivyo na kubaini changamoto zinazowakabili wananchi wanaovitumia katika shughuli zao za kila siku. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Kairuki amesema amechukua…

Read More

‘Hakuna ubaguzi utoaji mikopo elimu ya juu’

Dodoma. Serikali imeeleza haina mpango wa kubagua wanafunzi wanaotoka shule binafsi katika utoaji wa mikopo ya elimu ya juu, bali inaongozwa na vigezo vya kisheria vinavyolenga kuwabaini wanafunzi wenye uhitaji halisi bila kujali walikotoka kielimu. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Jumatano, Januari 28, 2026 na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Amir Hafidh…

Read More

Mbunge ataka sheria kulazimisha watoto kutunza wazazi

Dodoma. Mbunge wa Kinondoni (CCM), Tarimba Abbas amesema Serikali haioni haja ya kuweka sharti la kisheria la watoto wakubwa kuwatunza wazazi wao wasiojiweza. Hii ni mara ya pili hoja hiyo kuibuka bungeni , kwani katika Bunge la 12, hoja kama hiyo iliibuliwa na aliyekuwa Mbunge wa Kahama Mjini (CCM), Jumanne Kishimba ambaye alitaka itungwe sheria…

Read More

Hivi ndivyo unavyoweza kununua mke, mume sokoni China

Inaweza kuwashtua wengi, lakini nchini China yapo masoko ya ndoa halisi ambako wazazi na wakati mwingine watu binafsi hukusanyika kutafuta waume au wake kwa watoto wao. Katika miji mikubwa kama Shanghai, Beijing na Guangzhou, masoko hayo hufanyika kwenye bustani za umma, hususan mwishoni mwa wiki. Wasichana wakisoma matangazo ya uchumba yaliyobandikwa kwenye kamba…

Read More