FYATU MFYATUZI: Afariki kuliko kufa kila kitu, mafyatu huishi ‘kiafariki’!

Kuna bara linaitwa Afariki aka Fyatuland. Ajabu, imejiliwa utajiri na umaskini wa kutengenezwa kadhalika! Sizungushi. Nafyatua mshononi tena bila huruma. Nataka tufikiri pamoja juu ya maajabu haya tena bila aibu wala woga. Munene anasafiri kwa mindinga mia tena mtaani. Mafyatu awazugao ni waajiri wake wanafyatuana kwenye ngwarangwara na misongamano! Ajabu, pamoja na dhuluma hii, kunakuwa…

Read More

Dunia inavyorejea kwenye utawala wa mtu mmoja

Kwa muda mrefu, dunia imekuwa ikiyumba kati ya nguvu za watawala binafsi wenye nguvu za kijeshi, kiuchumi na kisiasa, na juhudi za kujenga mifumo ya sheria za kimataifa inayolenga kutoa mwelekeo wa pamoja wa dunia. Kabla ya karne ya 20, nguvu za kijeshi, kiuchumi au ushawishi wa kisiasa ziliwezesha mataifa au watu wachache wenye nguvu…

Read More

Umoja wa Mataifa unasema mgogoro wa Gaza bado ni mbaya, watoto ambao wameathirika zaidi – Masuala ya Ulimwenguni

Muhtasari waandishi wa habari mjini New York, Msemaji wa Umoja wa Mataifa Stéphane Dujarric alielezea hali kuwa bado “mbaya” kwa mamia ya maelfu ya familia katika Ukanda huo ambao bado wana uhitaji wa dharura. Washirika wa afya wa Umoja wa Mataifa wamepanua huduma za kimsingi katika siku za hivi karibuni. Kama sehemu ya kampeni ya…

Read More

Mbunge wa Momba Aishinikiza Serikali Kupunguza Gharama za Intaneti – Video

Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe kwa mara nyingine ameibua suala la gharama kubwa za mabando na intaneti, zinazosababisha ugumu kwa wafanyabiashara wa kidigitali na kuiomba serikali kuangalia namna ya kupunguza gharama hizo. Condester ameelekeza swali lake kwa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ambapo naibu waziri wa wizara hiyo, Switbert Mkama amejibu swali…

Read More

Afariki kuliko kufa kila kitu, mafyatu huishi ‘kiafariki’!

Kuna bara linaitwa Afariki aka Fyatuland. Ajabu, imejiliwa utajiri na umaskini wa kutengenezwa kadhalika! Sizungushi. Nafyatua mshononi tena bila huruma. Nataka tufikiri pamoja juu ya maajabu haya tena bila aibu wala woga. Munene anasafiri kwa mindinga mia tena mtaani. Mafyatu awazugao ni waajiri wake wanafyatuana kwenye ngwarangwara na misongamano! Ajabu, pamoja na dhuluma hii, kunakuwa…

Read More

NIKWAMBIE MAMA: Kodi ni maji kwenye tenga?

Mwili wa kiumbe hai ni kitu cha ajabu sana. Kama vuimbe hai tusingelikuwa na ngozi, au tungekuwa na mwili wa kioo inayoonesha yanayoendelea huku ndani, nadhani hata wenyewe tungeogopana. Macho yangeona tonge la ugali linavyomezwa kooni, linavyoshuka kusagwa tumboni na kadhalika. Mtu angeshindwa kuongopa kuwa amekula kuku wakati kisamvu na maharagwe vinaonekana tumboni. Pamoja na…

Read More

DG RUWASA AAGIZA MAMENEJA MIKOA NA WILAYA KUJIKITA KWENYE UTOAJI HUDUMA YA MAJI KWA KUZIJENGEA UWEZO CBWSOs

Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Wolta Kirita amewataka Mameneja wa Mikoa na Wilaya katika mikoa yote 25 inayohudumiwa na taasisi hiyo kuelekeza nguvu zaidi za kiutendaji katika kuvisimamia na kuvijengea uwezo Vyombo vya Utoaji Huduma ya Maji Ngazi ya Jamii (CBWSOs) ili viimarishe utoaji wa huduma hiyo kwa wananchi waishio vijijini na kuchangia uchumi wa nchi….

Read More