Kamati Kuu Chadema kuamua mustakabali wa ‘No reforms’
Miaka 33 ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) imekuwa na chungu tamu kadhaa ambazo wenyewe wanasema zimekijenga na kukiimarisha chama hicho kwa viwango vya juu hadi kuaminiwa na Watanzania. Kikiwa ni moja ya vyama 19 vyenye usajili wa kudumu nchini, Chadema ndiyo chama chenye mvuto wa kisiasa kwa sasa, kikiwa na sera na mikakati…