TAFORI YAPANDA MITI YA ASILI KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA KATIKA KAMPENI YA 27 YA KIJANI
Farida Mangube, Morogoro Taasisi ya Utafiti wa Misitu Tanzania (TAFORI) leo Januari 27, 2026 imeshiriki Kampeni ya Kitaifa ya Upandaji Miti #27Yakijani kwa kupanda miti ya asili aina ya Mkongo (Afzelia quanzensis), kama sehemu ya kuunga mkono juhudi za Serikali katika uhifadhi wa mazingira na kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano…