Mwingine kesi ya ‘Dk Manguruwe’ aeleza alivyowekeza Sh20 milioni
Dar es Salaam. Shahidi wa tisa wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mkurugenzi mwanzilishi wa Kampuni ya Vanila International Limited, Simon Mkondya, maarufu kama Dk Manguruwe, na mwenzake John Rwezaula, ameieleza mahakama jinsi alivyoshawishika kuwekeza Sh20 milioni katika kampuni hiyo. Shahidi huyo, Abeid Shekimweri, ametoa ushahidi wake leo Jumanne, Januari 27, 2026, mbele…