WATANZANIA WAPANDE MITI KILA MWAKA
………… Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange ametoa rai kwa kila Mtanzania kupanda mti angalau mmoja kila mwaka anapoadhimisha kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ili kuleta chachu katika hifadhi endelevu ya mazingira. Ametoa rai hiyo wakati akiongoza zoezi la upandaji wa miti kuadhimisha Kumbukizi ya Siku ya…