BoT YAAGIZWA KUONGEZA UDHIBITI WA MIKOPO UMIZA

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Deogratius Luswetula (Mb) akiiagiza Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuendelea kuongeza udhibiti wa mikopo yenye riba kubwa (mikopo umiza) wakati akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Mhe. Dkt. Neema Peter Majule, aliyetaka kufahamu Serikali imechukua hatua gani kwa watu ambao wamejinufaisha kwa mikopo yenye riba kubwa, bungeni…

Read More

Adaiwa kujiua kwenye nyumba ya kulala wageni      

Morogoro. Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Ebenezeri Mbwambo (34), mkazi wa Morogoro, anadaiwa kujinyonga ndani ya chumba alichokodi katika nyumba ya kulala wageni ya Kisenga, iliyopo mtaa wa Ngyzo, kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Alex Mkama, amesema tukio hilo lilibainika baada ya muhudumu wa nyumba hiyo kugundua…

Read More

Fao la utengamao lawainua wafanyakazi waliopata ajali kazini

Arusha. Wafanyakazi wanaopata ajali au magonjwa yatokanayo na kazi zao wataanza kunufaika na Fao la Utengamao kupitia mafunzo ya ujuzi na stadi mbalimbali zitakazowawezesha kushiriki katika shughuli za kijamii na kiuchumi. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), Dk John Mduma, jana Jumatatu Januari 26, 2026, wakati akifungua mafunzo ya…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUTEKELEZA MKAKATI WA KUKABILIANA NA WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU

Na Saidi Lufune, Dodoma SERIKALI imeweka vikosi vya kudumu vya Askari katika Kata za Bwiti na Mwakijembe kwa lengo la kuwawezesha askari Wanyamapori kuwahi mwitikio haraka katika matukio ya wanyamapori wakali na waharibifu wanapovamia maeneo ya wananchi. Hayo yamesemwa na Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb.), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Bungeni jijini Dodoma alipokuwa…

Read More

Changamoto utekelezaji sheria unavyoathiri jamii Handeni -3

Tanga. Licha ya kuwapo sheria zinazoelekeza wazi,  ni wajibu wa Serikali katika ujenzi na usimamizi wa barabara na madaraja ya vijijini, wakazi wa vijiji vya Kwasunga, Kwamsisi na Miono, wilayani Handeni wanaendelea kuishi katika hatari ya vivuko visivyo salama kila msimu wa mvua. Uchunguzi wa miezi mitatu uliofanywa na Mwananchi, umebaini kuwa tatizo la daraja…

Read More

Rais Samia ataka upangaji miji uhusishe maeneo ya upandaji miti

Unguja. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amezitaka mamlaka za upimaji ardhi na upangaji miji nchini, kuhakikisha katika upimaji wa maeneo mapya wanatenga nafasi ya upandaji miti katika mipango ya makazi na matumizi ya ardhi. Pia, amezitaka taasisi mbalimbali za umma na binafsi, kuhakikisha zinapanda angalau mti mmoja na kuhakikisha unatunzwa hadi kukua katika maeneo…

Read More