Mmoja afariki, 12 wajeruhiwa ajali ya lori na basi Shinyanga

Shinyanga. Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyohusisha lori na basi la abiria. Ajali hiyo imetokea leo Januari 27, 2026 saa 12:30 asubuhi katika eneo la mnada wa Tinde, wilayani Shinyanga. Ajali hiyo imehusisha basi la Kampuni ya Kisire lililokuwa likitokea Kahama kwenda Mwanza, na lori lililokuwa limebeba shehena…

Read More

Concurrently Maintainable: Why Tier III Data Centres Are the Real Play for East Africa

Demos Kyriacou, Co-founder, Deputy CEO and COO, Wingu Africa East Africa’s digital economy is expanding at a rapid pace, driven by rising internet penetration, widespread mobile connectivity, and growing adoption of cloud services and fintech innovation. As organisations move away from informal server installations toward standardised and/or professionally designed data centres, the reliability and resilience…

Read More

TUME YA UCHUNGUZI YAKUTANA NA NAPE NNAUYE

TUME ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 27, 2026, imekutana na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye. Mkutano huo wa Tume na Nape umefanyika katika Ukumbi wa Tanganyika uliopo katika ofisi za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar…

Read More

Rais Samia aongoza Zoezi la kupanda Miti wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja-Zanzibar

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipanda mti wa Muembe (Mangifera indica) katika eneo la Bungi Kilimo, Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 27 Januari, 2026, wakati wa kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa. Rais Mhe. Dkt. Samia alizaliwa tarehe 27 Januari, 1960 katika Kijiji cha Kizimkazi, Mkoa wa…

Read More

SERIKALI KUENDELEA KUFANYA MAGEUZI YA SERA– DKT. MWIGULU

WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kufanya mageuzi ya sera zinazogusa moja kwa moja maslahi na ustawi wa maisha ya wananchi.   Amesisitiza kuwa Serikali haitavumilia watendaji wa Serikali wanaotoa visingizio, wasiowajibika na wenye hulka ya kufanya kazi kwa mazoea, ujanja ujanja na kutoa taarifa za michakato badala ya majibu yanayotakiwa. Amesema hayo Bungeni…

Read More