NEMC YAUNGA MKONO JUHUDI ZA RAIS SAMIA KATIKA UHIFADHI WA MAZINGIRA
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeunga mkono jitihada za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, za kuhifadhi na kusimamia mazingira kwa kushiriki zoezi la upandaji miti katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa tarehe 27 Januari. Katika kuadhimisha siku hiyo, Mheshimiwa Rais alipanda mti kama…