Ligi Kuu Bara leo zinasakwa pointi tatu za heshima

LIGI Kuu Bara inatarajiwa kuendelea leo Jumanne kwa mechi tatu kupigwa lakini macho ya wengi yataelezwa Uwanja wa KMC jijini Dar es Salaam na mabingwa watetezi, Yanga itashuka dimbani kucheza dhidi ya Dodoma Jiji. Baada ya kupoteza mechi yake ya kwanza wikiendi iliyopita katika Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, Kocha wa Yanga,…

Read More

Dili jipya la Dube, Wasaudia, Morocco wakitia timu Yanga

WAKATI mkataba wa mshambuliaji wa Yanga, Prince Dube ukielekea ukingoni, mabosi wa klabu hiyo wameanza hesabu mapema za kuhakikisha staa huyo hachomoki Jangwani. Dube aliyetua Yanga mwanzoni mwa msimu wa 2024-2025 akitokea Azam, alisaini mkataba wa miaka miwili kukitumikia kikosi hicho unaomalizika Juni 2026. Mwanaspoti linafahamu kuwa, baada ya Dube kucheza michuano ya AFCON 2025…

Read More

Peter Manyika kuagwa Mbezi, kuzikwa kesho Kinondoni

Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Peter Manyika anatarajiwa kuzikwa kesho, Jumatano, Januari 28, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasoka wa zamani Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’ imeeleza kuwa shughuli zote za msiba mazishi ya Manyika…

Read More

Peter Manyika kuagwa Mbezi na kuzikwa kesho Kinondoni

Kipa na Kocha wa zamani wa makipa wa Yanga na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Peter Manyika anatarajiwa kuzikwa kesho, Jumatano, Januari 28, 2026 katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasoka wa zamani Tanzania, Ibrahim Masoud ‘Maestro’ imeeleza kuwa shughuli zote za msiba mazishi ya Manyika…

Read More

Vijana wakali wa Tehama kukumbatiwa kukuza uchumi

Dar es Salaam. Serikali imesema itaendelea kuwakumbatia na kuwaendeleza vijana wenye vipaji katika Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama),  ili kuchochea ukuaji wa uchumi wa kidijitali nchini, hususan katika kipindi ambacho matumizi ya teknolojia za kidijitali yanaendelea kushika kasi, ikiwemo akili unde (AI). Hatua hiyo inatekelezwa kupitia Tume ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICTC),…

Read More

Profesa ataja mageuzi ya Tanzania mpya kwenye elimu

Dar es Salaam. Katika kuelekea mabadiliko makubwa ya kimaendeleo nchini hasa wakati huu wa utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya 2050, mjadala kuhusu ubora wa elimu yetu na mchango wake katika kuliendelezaTaifa unazidi kupamba moto. Mwandishi wetu amefanya mahojiano ya kina na Profesa George Kuhangwa, ambaye ni Mkuu wa idara ya misingi ya elimu, menejimenti na uendelevu…

Read More

Dk Dugange ataka mti mmoja uwe lazima 

Dodoma. Serikali imeagiza kila Mtanzania kuweka nadhiri ya kupanda walau mti mmoja kwani, baada ya miaka 10 Tanzania itakuwa imepanda miti zaidi ya bilioni 61 ambacho ni kiwango kikubwa. Wito huo umetolewa leo Jumanne Januari 27, 2026 na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano na Mazingira, Dk Festo Dugange alipoongoza shughuli ya kupanda miti…

Read More