MKUU WA MKOA WA PWANI KUPANDA MITI 6,379 KUMBUKIZI YA. KUZALIWA RAIS DKT. SAMIA
Na Khadija Kalili,Kibaha IKIWA ni katika kusherehekea miaka 65 ya kuzaliwa ya kuzaliwa Mhe.Rais Dkt Samia SuluhuHassan inayoadhimishwa kesho tarehe 27 Januari 2026, Mkuu wa Mkoa wa Pwani Abubakari Kunenge kesho ataongoza zoezi la kupanda miti sambamba na kugawa miche 1500 ya mikorosho itakayogaiwa Wilayani Rufiji. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo tarehe 26 Januari…