Wizara Ya Ardhi Yaingilia Kati Mgogoro wa Ardhi Geita – Video
Wizara Ya Ardhi Yaingilia Kati Mgogoro wa Ardhi Geita – Video – Global Publishers Home Habari Wizara Ya Ardhi Yaingilia Kati Mgogoro wa Ardhi Geita – Video
Wizara Ya Ardhi Yaingilia Kati Mgogoro wa Ardhi Geita – Video – Global Publishers Home Habari Wizara Ya Ardhi Yaingilia Kati Mgogoro wa Ardhi Geita – Video
Dar es Salaam. Baadhi ya wakazi wa Dar es Salaam wamelalamikia kelele kubwa zinazofanywa na madereva bodaboda kwa kufunga honi zenye sauti ya juu pamoja na kutengeneza mlio mithili ya mlipuko wa bomu ambao umekuwa ukiwashtua. Malalamiko hayo yametokana na kukithiri kwa tabia hiyo ya vijana waliojiajiri kuendesha bodaboda kupiga honi hizo pamoja na ‘kulipua’…
Unguja. Awamu ya kwanza ya mabasi yanayotumia umeme (ZanBus) yamewasili kupitia Bandari ya Malindi, Zanzibar. Mabasi hayo 10, yamewasili jana Januari 25, 2026 katika Bandari ya Malindi na kuelekea katika maegesho ya stendi mpya ya Kijangwani, Mkoa wa Mjini Magharibi. Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zanzibar, leo Januari 26, 2026 imeeleza…
Arusha. Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Arusha kuanza mchakato wa maombi ya kukipandisha hadhi Kituo cha Afya Kaloleni kuwa Hospitali ya Wilaya baada ya kukamilisha ujenzi wa jengo jipya lenye ghorofa tano litakalopunguza msongamano wa wagonjwa. Hatua hiyo imetokana na msongamano mkubwa wa wagonjwa alioukuta leo Jumatatu, Januari 26, 2026…
Geita. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaohusisha Halmashauri ya Wilaya ya Geita na mwekezaji katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro, mkoani Geita, kufuatia mvutano uliosambaa kupitia mitandao ya kijamii. Hatua hiyo imechukuliwa kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za…
Mtaalamu wa Hali ya Hewa kutoka TMA, Alfred Kondoya akizungumza na Torch Media Dar es salaam. ::::::::: Na Mwandishi Wetu TMA imesema inatarajia kutoa rasmi utabiri wa mvua za Masika mwanzoni mwa mwezi Februari mwaka huu, utabiri ambao utahusu kipindi cha kuanzia mwezi Machi hadi Mei. Akizungumza na Torch Media katika mahojiano maalumu yaliyofanyika ofisini…
Nilipoteza Zaidi ya Kilo 25 na Kupata Mwonekano Mzuri Baada ya Kuijua Mbinu Hii – Global Publishers Home Habari Nilipoteza Zaidi ya Kilo 25 na Kupata Mwonekano Mzuri Baada ya Kuijua Mbinu Hii
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amewaagiza TAKUKURU kutengeneza mazingira magumu kwa mtu yeyote anayejihusisha na rushwa ili watu wawe waoga kushiriki vitendo hivyo akihimiza kufanya kazi yao bila woga, bila kuumiza watu ili kuisaidia Tanzania kwani baraka zote za Mkuu wa nchi na Serikali kwa…
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linamshikilia mwanaume mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa Kijiji cha Tingi kilichopo Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumchoma na kitu chenye ncha kali tumboni mke wake ambae pia jina lake limehifadhiwa baada ya kugundua kuwa mwanamke wake anatumia dawa za kufubaza virusi…
Msanii chipukizi wa Bongo Flava anakwenda kwa jina la Mycoely ameachia video ya wimbo wake mpya unaitwa ADO ADO. https://youtu.be/z0EXlLzpKro?si=z9NAi2ukM8Q5Webh