CPA.MKAMA: KUNA MAENDELEO MAKUBWA NA USTAWI MZURI KATIKA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA

Na Mwandishi Wetu MAMLAKA ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) imesema katika kipindi cha miaka mitano, kumekuwa na maendeleo makubwa na ustawi mzuri wa uwekezaji katika mifuko ya uwekezaji wa pamoja. Imefafanua katika kipindi kilichoishia Disemba 2025 imeongezeka kwa asilimia 65.10 na kufikia Sh. trilioni 4.35, ikilinganishwa na Sh. trilioni 2.64 katika kipindi kilichoishia…

Read More

Madiwani Ilemela waagiza kodi ikusanywe bila kero

Mwanza. Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela limepitisha mpango wa bajeti ya Sh101.74 bilioni kwa mwaka wa fedha 2026/2027, huku likitaka ukusanyaji wa mapato ufanyike kwa njia rafiki bila kuwasumbua au kutumia nguvu kwa walipa kodi. Bajeti hiyo imepitishwa katika kikao maalumu cha baraza kilichofanyika leo Jumatatu, Januari 26, 2026, baada ya…

Read More

TANZANIA MWALIMU WA UTAWALA BIRA AFRIKA WAZIRI MKUU MWIGULU

FARIDA MANGUBE,Morogoro Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amesema Tanzania ina mifumo imara ya kusimamia rasilimali na kudhibiti rushwa, hali inayofanya nchi iendelee kuwa kielelezo na mwalimu kwa mataifa mengi ya Afrika katika masuala ya utawala bora. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo Januari 26, 2026, mkoani Morogoro, alipomwakilisha Rais Dkt….

Read More

Majitaka kero sugu Kariakoo | Mwananchi

Dar es Salaam. Haijalishi ni kipindi cha mvua au kiangazi, kero ya majitaka kutoka kwenye chemba za baadhi ya mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam imeendelea kuwatesa wafanyabiashara, mamalishe na maelfu ya watu wanaofika eneo hilo kwa shughuli za kibiashara. Katika mitaa kadhaa ikiwamo ya Uhuru, Msimbazi na Sikukuu, kumekuwa na majitaka yanayotiririka barabarani,…

Read More

Siasa, fedha kikwazo ujenzi daraja Mto Mligazi -2

Tanga. Kwa nini Daraja la Mto Mligazi linalounganisha wilaya za Bagamoyo, mkoani Pwani na Handeni Vijijini, Tanga, halijatengenezwa tangu Tanganyika ipate Uhuru (1961) licha ya kuwapo kwa sera, sheria na uongozi wa kisiasa na kiutawala? Swali hilo limeendelea kuumiza vichwa vya wakazi wa vijiji vya Kwasunga, Miono na Kwamsisi waotegemea kivuko cha muda walichotengeneza kwa…

Read More