Ufaulu kidato cha nne 2025 wapaa, sayansi bado pasua kichwa
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika Novemba 2025, yakionesha picha mseto ya ufaulu ambapo wasichana wameongoza kwa idadi ya waliofaulu, huku wavulana wakionesha ubora wa juu zaidi wa ufaulu kwa madaraja ya juu. Matokeo hayo yanaonesha kuwa ufaulu umeongezeka ikilinganishwa na mwaka 2024, hali…