KILI INTERNATIONAL MARATHON 2026 YAZINDULIWA MOSHI KWA KISHINDO
Na Mwandishi Wetu WAKAZI na wanariadha wilaya ya Moshi na mkoani Kilimanjaro kwa ujumla wana kila sababu ya kutabasamu kufuatia uzinduzi wa msimu wa 24 wa mbio maarufu za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2026 uliofanyika hoteli ya Salinero iliyoko Moshi, mkoani Kilimanjaro. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Kiseo…