Jaruph afichua kinachombeba Morocco | Mwanaspoti
MSHAMBULIAJI wa Ain Diab na Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni, Jaruph Juma ametaja siri ya kuwa na mwendelezo mzuri msimu huu na kuonyesha kiwango bora kwenye Ligi ya Morocco. Myanzania huyo ambaye alijiunga na timu hiyo mwishoni mwa msimu wa 2024/25, amesema amekuwa akifanya mazoezi binafsi na kujituma kwa misimu miwili na hivyo…