BoT yatahadharisha kuhifadhi fedha kwenye matiti, pindo la kanga

Tanga. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewakataza wananchi, hususan kina mama, kuhifadhi fedha kwenye matiti ikieleza tabia hiyo huharibu ubora wa fedha na kuilazimisha Serikali kugharamia kuchapisha mpya kabla ya muda wake wa matumizi kuisha. Mbali na kuhifadhi kwenye matiti, kufunga fedha kwenye pembe za kanga au vitambaa hali hiyo inasababisha fedha kujikunja na kuchakaa….

Read More

TRA YAJIVUNIA KULINDA USALAMA WA NCHI NA JAMII

::::::::: MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema imechangia kwa kiasi kikubwa katika kuhakikisha usalama wa nchi na wananchi wake, hususan katika maeneo ya mipakani, kupitia ukaguzi wa kina wa bidhaa zote zinazoingia nchini. Kauli hiyo imetolewa leo Januari 25, 2026 mkoani Dar es Salaam na Kamishna Mkuu wa TRA, Yusufu Mwenda, wakati wa Bonanza la…

Read More

Uamuzi wa Tume ya Jaji Chande waibua maoni tofauti

Dar es Salaam. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 wa kuzuia waandishi wa habari kushuhudia vikao vya kupokea ushahidi wa waathirika, umeibua mjadala miongoni mwa wanasheria, wataalamu wa afya ya akili, wanahabari na watetezi wa haki za binadamu, huku wengine wakiunga mkono hatua hiyo na wengine…

Read More