Sakata la Musukuma, mwekezaji, Serikali yatoa maagizo
Geita. Serikali imetoa siku 14 kutafutwa na kupatikana ufumbuzi wa mgogoro kati ya Kamati ya Uchumi na Fedha ya Halmashauri ya Manipaa ya Geita na mwekezaji wa majengo ya biashara, Rashid Kwanzibwa. Mgogoro huo umeibuka baada ya kamati hiyo kukuta mwekezaji huyo amebomoa baadhi ya majengo ya Serikali yaliyoko eneo la uwanja wa mpira wa…