Shambulio familia ya Bobi Wine laibua taharuki Uganda, mkewe alazwa
Dar es Salaam. Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, amesema mke wake ameshambuliwa na vikosi vya ulinzi vilivyovamia nyumbani kwake wakati yeye akiwa mafichoni, tukio lililoongeza sintofahamu ya kiusalama nchini humo. Kupitia taarifa aliyochapisha mtandaoni, Wine amesema shambulio hilo lilitokea Jumamosi Januari 24, 2026, ambapo askari waliovalia kiraia walimshambulia mke wake wakimtaka afichue mahali…