ONGEA NA ANTI BETTIE: Mama mkwe ananitaka nifanyeje?   

Habari Anti, kwa masikitiko makubwa ninakueleza kuwa nakosa uamuzi ni kwa namna gani nitamkwepa mama mkwe wangu anayenitaka kimapenzi. Ulianza kama urafiki wa mama na mwanaye, tunatoka kwa ajili ya matembezi na kupata viburudisho, kumbe alikuwa na jambo lake sasa kanitamkia moja kwa moja kuwa ananitaka kibaya zaidi ananinyima amani maana amenikalia kooni. Kwa mara…

Read More

2026 mwaka wa uponyaji, mwanzo mpya wa ndoa

Mwaka mpya unapofika, mara nyingi tunatafakari kuhusu malengo mapya ya kazi, fedha, afya na maendeleo binafsi. Hata hivyo, eneo moja muhimu sana la maisha ya binadamu mara nyingi husahaulika au kuachwa pembeni, eneo hilo ni ndoa. Ndoa ni taasisi hai; inapumua kwa mazungumzo, inakua kwa upendo, na hudhoofika inapokosa uangalizi. …

Read More

Wasudan waliokuja kusoma udaktari wahitimu, waishukuru Tanzania

Dar es Salaam. Kundi la wanafunzi zaidi ya 190 kutoka nchini Sudan waliokuwa wanasoma udaktari  Tanzania wamehitimu masomo yao na kushukuru kwa ukarimu walioupata. Wanafunzi hao wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia ya Matibabu (UMST), walikwenda nchini Tanzania miaka miwili iliyopita baada ya kukumbwa na vita nchini kwao, walikuwa wakisoma huku wakipata mafunzo kwa…

Read More

Talaka ni jeraha, halitibiki kwa sherehe  

Ingawa inaweza kuonekana kama jambo la ajabu, siku hizi kumeibuka mtindo mpya wa baadhi ya watu kusherehekea talaka. Kwa kizazi cha zamani, jambo hili ni geni na linakinzana na maadili ya kijamii. Licha ya kuwa linaanza kuzoeleka kutokana na ushawishi wa mitandao ya kijamii, swali la msingi linabaki: Je, kiakili na kiuhalisia, kuna chochote cha…

Read More

Ndoa, uhusiano havijengwi kwa hofu bali heshima 

Katika jamii nyingi, bado kuna imani iliyojikita kuwa ili uhusiano au ndoa idumu, lazima mmoja awe na mamlaka ya kuogopwa. Kauli kama “mke anapaswa kumuogopa mumewe” au “lazima uwe mkali ili aheshimu” zimekuwa zikienezwa kwa vizazi. Lakini sayansi ya uhusiano na utafiti vinaonyesha wazi kuwa hofu si msingi wa uhusiano wenye afya. Kinachodumisha ndoa au…

Read More

Gadiel Michael kutua Dodoma Jiji

BEKI wa Dodoma Jiji, Miraji Abdallah ‘Zambo’ yupo kwenye hatua za mwisho kutua Singida Black Stars, huku pia nyota wa kikosi hicho, Gadiel Michael akipigiwa chapuo la kurithi nafasi yake. Chanzo kutoka ndani ya Singida kimeliambia Mwanaspoti kuwa Zambo aliyejiunga na Dodoma Jiji akitokea Coastal Union baada ya dili lake la kwenda Simba kuota mbawa…

Read More

JAMII YAASWA KUTOWAFICHA WAGONJWA WA UKOMA

Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya Mhe. Mohamed Mchengerwa ameiasa jamii kuachana na dhana potofu ya kuficha wagonjwa wa Ukoma na kujitokeza wanapobaini viashiria vya ugonjwa huo ili kurahisisha jitihada za Serikali kutokomeza ugonjwa huo nchini. Waziri Mchengerwa amesema hayo leo Januari 25 2025, wakati alipozungumza na waandishi wa habari akitoa tamko la maadhimisho ya…

Read More