Wateja walalama umeme kuisha haraka, Tanesco yataja sababu

Dar es Salaam. Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa Luku, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limesema hakuna jibu la moja kwa moja bila kufanyika tathmini ya kitaalamu. Kwa mujibu wa waliotoa malalamiko, wamekuwa wakinunua umeme kiwango kilekile lakini huisha ndani ya muda mfupi licha ya kuwa hawajaongeza…

Read More

Okello awaamsha mashabiki Yanga | Mwanaspoti

ACHANA na matokeo ya kupoteza kwa kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly. Mashabiki na wanachama wa Yanga mkoani Mbeya, wamesema hawaidai chochote timu yao, huku wakieleza kuridhishwa na kiwango cha nyota mpya, Allan Okello. Wamesema baada ya matokeo hayo, kwa sasa wanajiandaa kuisapoti timu hiyo itakaposhuka tena uwanjani kuwakaribisha wapinzani hao katika mchezo…

Read More

Azam, Singida BS kanyaga twende CAFCC

WAWAKILISHI wa nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam na Singida Black Stars wanashuka viwanjani leo kupambana kujiweka katika nafasi nzuri kuwania kufuzu robo fainali. Azam itakuwa kwenye Uwanja wa Taifa wa Nyayo huko Kenya kucheza dhidi ya Nairobi United saa 10:00 jioni, huku timu zote mbili msimu huu zikiweka rekodi ya kufuzu…

Read More

Jinsi ya Kupunguza Mafuta ya Ini kwa Lishe Sahihi

Last updated Jan 24, 2026 Ini lenye mafuta ni hali inayotokea pale mafuta yanapokusanyika kwa wingi kwenye seli za ini, jambo linaloathiri utendaji wake kwa muda. Ikiwa hali hii haitadhibitiwa mapema, inaweza kusababisha matatizo makubwa ya kiafya kama hepatitis, kovu la ini (fibrosis) na cirrhosis. Kwa mujibu wa wataalamu wa lishe, mabadiliko sahihi ya…

Read More

SERIKALI YAOMBWA KUPUNGUZA GHARAMA ZA USAJILI WA VYOMBO VYA HABARI MTANDAONI ILI KUKUZA AJIRA KWA VIJANA

:::::::: Serikali imeombwa kupunguza gharama za usajili wa vyombo vya habari mtandaoni (Online Media) ili kutoa fursa kwa vijana wengi zaidi kujiajiri. Ombi hilo limetolewa na Jumamosi Januari 24, 2026 na Mkurugenzi wa BMG Media, George Binagi wakati wa hafla fupi ya kupokea tuzo maalum kutoka YouTube baada ya chombo hicho cha mtandaoni kufikisha wafuasi…

Read More

VICTORY ATTORNEYS & CONSULTANTS YAZINDUA IDARA YA KODI NA FEDHA, YAMTEUA BENEDICT KOMBAHA KUWA MSHIRIKA WA KODI

Dar es Salaam, Tanzania – Januari 2026 Victory Attorneys & Consultants imetangaza rasmi kuzinduliwa kwa Idara ya Kodi na Fedha, hatua inayodhihirisha dhamira ya kampuni hiyo kuendelea kupanua wigo wa huduma zake za kisheria na ushauri wa kitaalamu kwa biashara na taasisi nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki. Sambamba na uzinduzi huo, kampuni imemtangaza…

Read More