Wafugaji samaki walalamikia gharama kubwa za ufugaji

Musoma. Wawekezaji katika sekta ya ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba wameeleza kukabiliwa na changamoto mbalimbali, ikiwemo gharama kubwa ya chakula cha samaki na vifaa vya uzalishaji, hali inayotokana na uhaba wa viwanda vya kuzalisha pembejeo hizo ndani ya nchi. Changamoto hizo zimeibuliwa leo Jumamosi, Januari 24, 2026, mjini Musoma wakati wa ziara ya…

Read More

Wizara ya Viwanda yataja mikakati 12, vijana watajwa

Dodoma. Kuelekea siku 100 za Rais Samia Suluhu Hassan madarakani tangu alipoapishwa kwa muhula wake wa pili, Wizara ya Viwanda na Biashara imetaja mambo 12 ambayo yamepewa mkazo mkubwa ikiangazia kundi la vijana. Katika kutekeleza mipango hiyo, mikopo 193 yenye thamani ya zaidi ya Sh820 milioni imetolewa na kuzalisha ajira 546, mingi ikiwagusa vijana.  Waziri…

Read More

Simba yaweka rekodi mpya ya vipigo CAF

WANASIMBA wanataka kuiona timu yao inafuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama kawaida yake ilivyofanya misimu saba iliyopita kuanzia 2018, lakini sasa mlima ni mrefu kutokana na matokeo iliyopata katika mechi tatu za kundi D. Kupoteza mechi tatu mfululizo za makundi katika michuano ya CAF, imekuwa ni matokeo mabaya zaidi kwa Simba kuyapata…

Read More

CCM Pwani: Malezi bora ni nguzo ya amani

Kibaha. Wazazi mkoani Pwani wametakiwa kuimarisha malezi kwa vijana ili kuwajengea misingi ya amani, nidhamu na uzalendo, huku wakihimizwa kuepuka vitendo vya vurugu vinavyoweza kuhatarisha amani na utulivu wa nchi. Wito huo umetolewa leo Jumamosi, Januari 24, 2026, na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Hamoud Abuu Jumaa, wakati wa…

Read More

Kamati ya Bunge: Vijana wawezeshwe mitaji, zana za kazi

Dodoma. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo imeitaka Serikali kuweka mifumo madhubuti ya kuwawezesha wahitimu wa vyuo vya ufundi stadi kupata mitaji na zana za kazi. Kamati hiyo imebainisha kuwa vijana wengi hushindwa kutumia na kuendeleza ujuzi walioupata mara baada ya kuhitimu kutokana na ukosefu wa rasilimali hizo. Imesisitiza kuwa uwezeshaji…

Read More