Uhaba wa mbegu bora unavyokwamisha uzalishaji wa ufuta Tanga
Tanga. Wakulima wa zao la ufuta mkoani Tanga wamelazimika kuendelea kutumia mbegu za asili zenye tija ndogo kutokana na uhaba wa mbegu bora, hali inayosababisha mavuno kuwa madogo licha ya zao hilo kuwa na soko kubwa ndani na nje ya nchi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wakulima kutoka wilaya zinazolima ufuta mweupe mkoani humo wamesema matumizi…