Kiongozi wa CWT Morogoro afariki dunia kwa ajali

Morogoro. Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Wilaya ya Morogoro kimepata pigo kufuatia kifo cha mwenyekiti wake, Mbaruku Ligubi (46), aliyefariki dunia baada ya kupata ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa Januari 22, 2026. Mwalimu Ligubi aligongwa na gari katika ajali iliyotokea saa 2 usiku katika barabara kuu ya Dar es Salaam – Morogoro, eneo la…

Read More

Sh249 milioni kuboresha zahanati ya shule ya mahitaji maalumu

Rungwe. Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetumia zaidi ya Sh249 milioni kuboresha miundombinu ya zahanati katika Shule ya Msingi Katumba II Mchanganyiko. Shule hiyo inayohudumia wanafunzi wenye mahitaji maalumu, imepewa fedha hizo kuweka mazingira wezeshi ya upatikanaji wa huduma bora za afya kwa kundi hilo. Hatua hiyo imeelezwa kuwa mwarobaini wa changamoto za…

Read More

Jumuiya ya Wazazi Temeke yawekwa mguu sawa

 Na WANDISHI WETU MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi  ya Chama Cha  Mapinduzi (CCM)  Wilaya ya Temeke, Hamis Slim, amewakata  viongozi  wa  mabaraza, kamati za utekelezaji za kata na matawi  za jumuiya hiyo kuvunja makundi  yaliyotokana na uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 , 2029 na kufanyakazi kwa ushirikiano. Ameyasema hayo  Dar es Salaam, leo katika ziara…

Read More

Mbowe: Taifa bado lina maumivu makubwa

Arusha. Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema Taifa bado lina maumivu makubwa kutokana na hali ya kisiasa, akibainisha kuwa magereza yanaendelea kuwa na viongozi wanaostahili kuwa huru na kuungana na Watanzania wenzao katika kushuhudia na kuchangia matunda ya nchi yao. Mbowe ameyasema hayo leo Jumamosi, Januari 24, 2026,…

Read More