Meridianbet Yahakikisha Mazingira Ni Salama Mbezi Juu
MERIDIANBET imeendelea kuthibitisha kuwa mchango wake hauishii kwenye burudani ya michezo ya kubashiri pekee, bali unagusa moja kwa moja maisha ya wananchi. Kupitia mkakati wake wa uwajibikaji kwa jamii (CSR), kampuni hiyo imeshiriki kikamilifu katika zoezi la usafi wa mazingira Kata ya Mbezi Juu, ikionesha dhamira ya kweli ya kushiriki maendeleo ya kijamii na kiafya…