Greenland: Mali yenye mvutano wa dunia, rasilimali zinazowatesa wababe – 2
Kutokana na historia yake ndefu, kuanzia jamii za kale za Paleo-Inuit, wavumbuzi wa Ulaya, hadi uwapo wa kijeshi wa Marekani katika Vita Baridi, Greenland imejenga msingi thabiti wa umuhimu kimkakati. Hata hivyo, karne ya 21 imeibua sura mpya ya kisiwa hiki: Si tu kama alama ya ustahimilivu wa binadamu, bali kama kitovu cha nguvu, rasilimali…