AFCON: Mwisho wa ubaya aibu

Dar es Salaam. Wabongo ni wepesi sana kujifunza, lakini wazito mno kuyaishi yale waliyojifunza. Nawazungumzia wabongo wa anga zote wakiwemo wanafunzi, waumini, wafanyakazi kwa wakulima. We mwenyewe fikiria ulipokuwa Shule ya Msingi, kila asubuhi ulikuwa unakwenda shuleni ukibeba kuni na dumu la maji. Kuni za kupikia, maji ya nini? Ya kumwagilia bustani yako ya mboga…

Read More

Tanzania yajizatiti teknolojia ya mawasiliano angani

Dar es Salaam. Wakati uhakika wa mawasiliano ya anga ukitajwa kuchochea ndege za kimataifa kupita Tanzania kuongeza mapato, Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) imesema matumizi ya teknolojia za kisasa yanachangia uhakika huo pamoja na kuepusha ajali angani. Teknolojia hizo ikiwemo ile ya mifumo mipya ya mawasiliano kati ya rubani na waongozaji wa ndege…

Read More

SAFARI YA KUZAA NA KUHAMA KWA NYUMBU YATUA FITUR HISPANIA

Na Mwandishi wetu. Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia taasisi zake inaendelea kunadi vivutio vya utalii vilivyopo Tanzania katika maonesho ya FITUR yanayoendelea nchini Hispania ambapo watu mbalimbali wakiwemo wananchi waliotembelea banda la Tanzania wameonekana kufurahishwa zaidi na tukio la kuzaliana na kuhama kwa nyumbu kutoka hifadhi moja kwenda nyingine (The Great Wildebeest Migration). Kamishna…

Read More

Iran katika Baraza la Haki za Kibinadamu, uchaguzi wa Myanmar ‘udanganyifu’, mkuu wa uhamiaji huko Cyprus, Msumbiji sasisho la mafuriko – Masuala ya Ulimwenguni

Akihutubia Baraza la Haki za Binadamu huko Geneva, Bw. Türk alisema kwamba ingawa “mauaji katika mitaa ya Iran yanaweza kuwa yamepungua … ukatili unaendelea”. Amesema ukandamizaji wa kikatili hausuluhishi matatizo yoyote ya Iran badala yake umeweka mazingira ya kutokea ukiukaji zaidi, ukosefu wa utulivu na umwagaji damu. “Tuna dalili kwamba vikosi vya usalama vilikamata watu…

Read More