TAIFA GAS MDHAMINI MKUU PROGRAMU YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kaloleni na Shule ya Sekondari ya Msasani zinazozunguka Mlima wa Kilimanjaro walioshiriki zoezi la kupanda miti na kupata mitungi ya gesi , kutoka kampuni ya Taifa gas kwenye programu ya utunzaji wa mazingira ya ‘Guardians of the Peak 2026’Meneja Masoko wa Kampuni ya Taifa gas , Oscar Shelukindo akigawa…