Moloko kuibukia Ligi ya Championship
ALIYEKUWA kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani Jesus Ducapel Moloko amekamilisha usajili wa kujiunga na Mbeya Kwanza ya Tabora inayoshiriki Ligi ya Championship, baada ya kusaini mkataba hadi mwisho wa msimu huu. Nyota huyo aliyewahi kuitumikia Yanga kuanzia Agosti 13, 2021 hadi Januari 28, 2024 akitokea AS Vita ya kwao DR Congo, amejiunga na Mbeya Kwanza…