Kiwanda cha Sukari Mkulazi Chaanza Kuleta Tija, Mhe. Sangu Apongeza Uwekezaji wa NSSF na Magereza
Na MWANDISHI WETU, Morogoro. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Mahusiano, Mhe. Deus Sangu, ameridhishwa na hatua kubwa ya maendeleo iliyofikiwa katika mradi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi, akisema kuwa ndani ya muda mfupi kiwanda hicho kitaanza kujiendesha kwa faida, jambo linaloendana na maono ya Serikali ya Awamu ya Sita ya…