Haya Hapa Matokeo ya Form 4 – 2025
Last updated Jan 31, 2026 Dar es Salaam, Januari 31, 2026 — Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza rasmi matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne uliofanyika mwaka 2025 kote nchini. Akizungumza katika ofisi za baraza hilo jijini Dar es Salaam, Katibu Mtendaji wa NECTA, Profesa Said A. Mohamed, amesema…