CRDB YAWEKA HISTORIA, YAFIKA KITUO CHA FEDHA CHA DIFC DUBAI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo (katikati), Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori, pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Abdulmajid Nsekela, kwa pamoja wakizindua rasmi Ofisi ya Uwakilishi ya Benki ya CRDB Dubai. Hafla hiyo ilifanyika jana katika ukumbi wa…