Bunge jipya litaleta chochote kipya kwa wastaafu?
Bunge jipya limeanza kazi Januari hii ya mwaka huu wa 2026, likitegemewa kufanya mambo mengi mapya ili kuiendeleza nchi yetu. Linategemewa kufanya hivyo kwa miaka mitano ijayo, ambapo wale watakaoonekana wametenda vyema kuiendeleza nchi watapewa na wananchi miaka mingine mitano ya kufanya vitu vyao vya kuendeleza nchi. Lakini wale “wenzangu mimi” ambao wataonekana hawakufanya lolote…