Karata ya Pedro Misri ipo hapa!
YANGA tayari ipo jijini Alexandria, Misri kuvaana na wenyeji Al Ahly katika mechi ya Kundi B, huku wawakilishi hao wa Tanzania wakiwa na matumaini na kuendelea ilipoishia na kuwatoa hofu mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo wakiwataka wawaombee dua tu ili wawape raha ugenini. …