MKAZI PUGU STESHENI AKUTWA AMEJINYONGA KWENYE MTI
………… Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Haidary Omary Mkazi wa Mtaa wa Pugu Stesheni Kata ya Pugu Stesheni jijini Dar es salaam amekutwa amefariki dunia baada ya kujinyonga kwenye mti. Akizungumza na Torchmedia kwa hisia bibi wa Marehemu Bi.Jevu amesema marehemu alimuaga siku ya Jumatatu akimueleza anaondoka watakutana kwa Mungu kisha akamuachia Shilingi 3000…